Mke wa Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mama Salma Kikwete akimkabidhi kiongozi wa kituo cha walemavu cha Rasibura Bwana Mohamed Chitawala baadhi ya vyakula alivyowaletea.
Mama Salma Kikwete akiongea na baadhi ya walemavu wanaoishi katika kituo cha Rasibula mara baada ya kuwakabidhi zawadi zao za pasaka.
Mke wa Rais mama Salma Kikwete akimkabidhi zawadi ya pasaka Theresia Thomas ambaye ni mlemavu wa viungo anayeishi katika kituo hicho cha Rasibula kilichopoLindi Tanzania.
Mama Salma Kikwete akipiga picha na Theresia akiwa amelala kitandani kwani hawezi kukaa wala kusimama.










No comments:
Post a Comment