Advertisemet

.

Wednesday, 8 March 2017

Siku ya Wanawake Duniani 


Kauli mbiu ya siku ya wanawake 2017 
"Tanzania ya viwanda, Wanawake ni msingi wa mabadiliko ya kiuchumi"
Makamu wa Raisi Muheshimiwa Samia Suluhu amesema, uundaji wa majukwaa ya kuwawezesha wanawake kiuchumi nchini, kazi hiyo inaendelea vizuri na kutaka mikoa na wilaya ambazo bado hazijaunda majukwaa hayo kufanya hivyo haraka iwezekanavyo.
Ameeleza kuwa lengo la uundaji wa majukwaa hayo katika ngazi hizo ni kuwakutanisha wanawake pamoja katika kujadili na kutafuta ufumbuzi wa changamoto zinazowakabili ikiwemo tatizo la masoko ya bidhaa wanazozizalisha.

No comments:

Post a Comment

 
Don't Forget To Join US In MalikiaTz Community
×
bloggerWidget