Mkurugenzi Mkuu wa Heifer International Tanzania, Dk Henry Njakoi akiongea na wageni waalikwa na wadau wa sekta ya maziwa nchini na wa kimataifa.
Mkurugenzi Mkuu wa East Africa Dairy Development (EADD), Mh Rakesh Kapoor akichangia mada kwenye uzinduzi wa Mradi wa Kuendeleza sekta ya Maziwa kwa Nchi za Afrika Mashariki.
Mjasiliamali wa Maziwa kutoka Mkoani Iringa, Bi Diana akitoa Ushuhuda wake kwa wageni waalikwa
Baadhi ya Wageni waalikwa na Wadau kutoka Sekta ya Maziwa Afrika Mashariki wakifuatilia mada kwa makini
Mgeni Rasmi katika Uzinduzi huo ambae pia ni Naibu waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mh Kaika Telele akimpongeza Mjasiliamali











No comments:
Post a Comment