Hapa anaonekana Bi Mwanne Yusuf kushoto akiteta jambo na Bi Upendo Singinika afisa mwezeshaji wa mfuko wa PPF mwisho ni Bi Upendo Mazuki afisa msimamizi wa mfuko PPF.
Wajasiriamali wadogo na wanahisa wa kata ya Bunju na Mabwepande wakimsikiliza kwa makini afisa wa PPF akisisitiza nini faida ya kuweka akiba uzeeni
Getrude Athanas afisa mwezeshaji wa mfuko wa PPF kulia akigawa fomu kwa wajasiriamali za kujiunga na mfuko wa PPF
Wanahisa na wajasiriamali wakipata kifungua kinywa
Mwenyekiti wa wajasiriamali akiteta na maafisa wa PPF












No comments:
Post a Comment