Advertisemet

.

Friday, 21 March 2014

TWB (TANZANIA WOMEN BANK) MKOMBOZI WA WANAWAKE

Mkurugenzi wa TWB akiwa 


Mkurugenzi wa TWB akiwasha gari jipya ambalo benki hiyo ilikabidhiwa katika uzinduzi huo.


Baadhi ya wanawakewaliohudhuria katika uzinduzi wa benki hiyo iliyopo mtaa wa Mkwepu.


Jiwe la msingi lililowekwa tayari kwa uzinduzi wa benki hiyo.



Wadau mbalimbali waliokuwepo katika uzinduzi wa TWB.



Rita  Mlaki  wa pili aliyevaa kofia akishuhudia uzinduzi huo wa benki ya wanawake (TWB).



Khadija Kopa akitumbuiza katika sherehe hizo pamoja na kikundi cha T.O.T Plus.


Baadhi ya wageni waalikwa waliokuwepo katika sherehe za kufunguliwa kwa benki hiyo.


Wageni waalikwa na wadau mbalimbali wakiwa wamejipanga kumpokea mgeni rasmi.


Mh. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika sherehe hizo tayari kwa uzinduzi.






Mama Rwakatare na Captain John Komba wakisherehekea katika uzinduzi wa benki ya TWB.














No comments:

Post a Comment

 
Don't Forget To Join US In MalikiaTz Community
×
bloggerWidget