Wageni wakiwa waalikwa wakipata maelezo kabla ya kuingia ndani ya ukumbi
Mtoa huduma wa upimaji wa PSI Renata akitoa maelezo kwa mwanamama aliyehudhuria katika sherehe hiyo.
Daktari akitoa maelezo kwa bi Zainab kabla ya kwenda kupima saratani ya shingo ya kizazi.
Watoa huduma wa PSI wakiwa wanasikiliza kwa makini mada iliyokuwa inafafanuliwa.
Mfanyakazi wa kampuni ya usafirishaji na pia ni mjasiriamali wa kutengeneza nguo za kiafrika akifuatilia kwa makini mada iliyokuwa ikitolewa
Burudani ilipamba moto wakina mama na wadada wakicheza kwaito
Aunt Sadaka akitoa somo kwa wakina dada na kina mama waliohudhuria
Muelimishaji Chris akitoa somo la saikolojia kwa wanawake
Mama Victor ni akitoa somi la ndoa kwa wanawake.
Daktari Bingwa wa magonjwa ya wanawake akitoa elimu kwa wakina mama.
Mwasiti akiwaburudisha wanawake.
Muda wa chakula huo
Khadija Kopa akiwa na muandaaji wa Kitchen party gala Vida wakipozi kwa ajili ya picha


























No comments:
Post a Comment