Advertisemet

.

Monday, 14 April 2014

NITETEE FOUNDATION YAZINDULIWA RASMI JIJINI MWANZA.

 Mke wa naibu waziri wa uchukuzi (mama Tizeba) kulia  ambae ni mgeni rasmi katika uzinduzi 
wa taasisi ya Nitetee wakifungua kwa pamoja pazia naFlora Lauwo (kushoto)

Meya wa jiji la Mwanza mh. Stanislaus Mabula (kushoto) akizungumza na wageni waalikwa na kumpongeza mkurugenzi wa Nitetee foundation kwa moyo wake wa kujitoa kwa dhati katika kuwasaidia watu wenye mahitaji maalum. Mh. meya ameahidi kufanya kazi na taasisi hiyo.

Wakina mama wa jiji la mwanza waliohudhuria hafla  ya Nitetee Foundation katika hotel new Mwanza.

Veronica ambae ni mmoja wa watoto wanaoishi katika mazingira magumu walioibuliwa na taasisi ya Nitetee akitoa ushuhuda wa maisha yake pamoja na wadogo zake.

Baadhi ya misaada iliyotolewa na wageni waalikwa katika kusaidia familia zaidi ya ishirini na tano zilizo chini ya taasisi ya Nitetee.

No comments:

Post a Comment

 
Don't Forget To Join US In MalikiaTz Community
×
bloggerWidget