Advertisemet

.

Sunday, 16 November 2014

Flavian Matata avikwa pete ya uchumba !!!!


Mwanamitindo wa kimataifa anyetokea Tanzania Flavian Matata  ambaye amekuwa akiishi Marekani,kufungua ukurasa mpya kwenye maisha yake baada ya kuvikwa pete ya uchumba

Kwa furaha aliyonayo  alipost picha kwenye account yake ya instagram @FlaviaMatata tarehe 16 Nov 2014 na kuionesha hiyo pete na kama haitoshi akaandika maneno haya I said YES

No comments:

Post a Comment

 
Don't Forget To Join US In MalikiaTz Community
×
bloggerWidget