skip to main
|
skip to sidebar
Pages
Home
About
Contact Us
Best Girls High School
Tanzania Ladies in Business
Advertisemet
.
Tanzania First Lady
MAMA JANETH MAGUFULI
GreenLight Girls High School
The winners of 2017 Elimu Raha Round 1 competion themed" Saving as form of Investment
Business Women in Tanzania
Women's efforts towards fighting poverty
Richest Women in Africa
1.
Isabel Dos Santos
2.
Folorunso Alakija
3.
Hajia Bola Shagaya
4.
Ngina Kenyatta
5.
Bridget Radebe
Popular Posts
International Womans Day History
Introduction International Women's Day is celebrated in many countries around the world. It is a day when women are recognized for t...
WANAWAKE WA KIKUNDI CHA TUMAINI BOKO WOMEN'S GROUP WAKIJIFUNZA MPANGO WA HISA TANZANIA.
WANAWAKE WAJASIRIAMALI WAHAMASISHWA KUJIUNGA NA MFUKO WA JAMII WA PPF
Hapa anaonekana Bi Mwanne Yusuf kushoto akiteta jambo na Bi Upendo Singinika afisa mwezeshaji wa mfuko wa PPF mwisho ni Bi Upendo Mazuki...
Kichen Party with Mum
SOMO LA WIKI
Blog Archive
Blog Archive
October (1)
March (4)
November (17)
May (14)
April (16)
March (28)
February (4)
Friday, 14 November 2014
MASIKINI...!! URAIA WA WA RWANDA WAMLIZA MISS TANZANIA MPYA LILIAN KAMAZIMA
Miss Tanzania mpya wa mwaka 2014 aliyepokea taji kutoka kwa Sitti Abbas Mtemvu, Lilian Deuce Kamazima.NI balaa juu ya balaa! Miss Tanzania mpya wa mwaka 2014 aliyepokea taji kutoka kwa Sitti Abbas Mtemvu, Lilian Deuce Kamazima, amejikuta akimwaga chozi kufuatia kuanza kusakamwa kwa madai kwamba ni raia wa nchi jirani ya Rwanda kwa kuzaliwa wazazi wake.
Hali hiyo ilimpata juzikati aliposakwa na paparazi wetu aliyetaka ufafanuzi kutoka kwake kwamba hata yeye hana sifa ya kuwa Miss Tanzania 2014 kwa vile si raia wa Tanzania, achilia mbali Sitti aliyedaiwa kudanganya umri. ALIANZA KWA KUPANGUA
Akizungumza na gazeti hili, Lilian alisema uvumi wa watu unaonea juu yake kuwa yeye si raia wa Tanziani si mzuri kwa vile unaanza kuchafua taji lake bila sababu za msingi na jambo hilo linamfanya awe analia kila wakati kwa vile yeye ni mzaliwa wa Bongo kwa baba na mama wa kutoka Bukoba mkoani Kagera.
“Watu waache kuzungumza kwa hisia jamani, mimi ni Mtanzania na wazazi wangu wote ni Watanzania
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Social Icons
Publicity
ADVERTISMENT
Number of Users
tomcat hosting
No comments:
Post a Comment