Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na mtoto Hassan Mustafa(13) mwenye tatizo la kudumaa, muda mfupi baada ya Rais Kikwete kukagua na kuzindua maabara katika shule ya sekondari ya Potwe iliyopo wilayani Muheza. Rais Kikwete yupo katika ziara ya kikazi Mkoani Tanga.
No comments:
Post a Comment