Advertisemet

.

Monday, 24 March 2014

RAIS KIKWETE AGAWA MADUME BORA YA NG’OMBE MSOMELA


Rais Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wananchi wa kijiji cha Msomela wakati alipokwenda kukabidhi madume bora ya ng’ombe kwa wafugaji.


Rais Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua baadhi ya madume bora ya ng’ombe na kisha kuwakabidhi baadhi ya wafugaji katika kijiji cha Msomela wilaya ya Handeni.

No comments:

Post a Comment

 
Don't Forget To Join US In MalikiaTz Community
×
bloggerWidget