Advertisemet

.

Monday, 31 March 2014

WAKAZI WA KIJIJI CHA KABWE WILAYA YA NKASI MKOANI RUKWA WAFAIDIKA NA UVUVI WA SAMAKI ZIWA TANGANYIKA



Akina mama wakiwa wametoka kununua samaki kwenye bandari ndogo ya Kabwe,Wilayani Nkasi mkoani Rukwa, wameeleza kuwa wengi wao wamekuwa wakijishughulisha na biashara ya samaki ili kujiingizia kipato katika suala zima la kujikwamua na kimaisha.

No comments:

Post a Comment

 
Don't Forget To Join US In MalikiaTz Community
×
bloggerWidget