Advertisemet

.

Monday, 31 March 2014

JACKSON KISWAGA AKIWEZESHA KIKUNDI CHA VIKOBA CHA TWIYENDAGE KALENGA.


Jackson Kiswaga akiwa na  wanachama wa kikundi  cha Vicoba Twiyendage Kalenga mara  baada ya kuzindua  kikundi hicho


Mgeni rasmi ambaye ni mkurugenzi  wa kampuni ya Tigo nyanda za  juu  kusini Bw Jackson Kiswaga  akimkabidhi mwenyekiti  wa kikundi hicho Bi Mwahija Witala msaada  wa fedha kiasi cha Tsh 500,000 kati ya shilingi 700,000 alizoahidi kwa kikundi hicho.

No comments:

Post a Comment

 
Don't Forget To Join US In MalikiaTz Community
×
bloggerWidget