Advertisemet

.

Wednesday, 2 April 2014

MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA BODI YA HUDUMA ZA MAKTABA NCHINI MKOANI DODOMA.


Wafanyakazi wa maktaba ya mkoa wa Dodoma wakiwa tayari kupokea wananchi wenye mahitaji mbalimbali ya huduma za maktaba kwa ajili ya kuwapa maelekezo ya namna ya kupata taarifa na huduma nyingine mbalimbali.


Walimu na wanafunzi wa shule za Dodoma walijitokeza kwenye viwanja vya maktaba ya mkoa wa Dodoma kushiriki maadhimisho hayo.

No comments:

Post a Comment

 
Don't Forget To Join US In MalikiaTz Community
×
bloggerWidget