Kurugenzi ya benki ya wanawake Tanzania (TWB) wakiwa katika picha ya pamoja.
Wakina mama ambao ndio wadau wakubwa wa benki ya TWB wakifuatilia uzinduzi wa benki hiyo.
Mgeni rasmi Mh. Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwasili kwenye eneo la tukio.
Mh. Waziri Mkuu Mizengo Pinda akipitia maelezo ya benki muda mfupi baada ya kuwasili.
Mkurugenzi Mkuu wa benki ya wanawake akisoma hotuba fupi mbele ya mgeni rasmi na wadau mbalimbali.
Wageni waliohudhuria wakifuatilia hotuba.
Mh. Sophia Simba akitoa hotuba kwa wageni.
Mh. Waziri Mkuu akitoa hotuba.
Mgeni rasmi akikata utepe tayari kwa ufunguzi wa benki.
Mh. Mizengo Pinda akifungua akaunti siku ya uzinduzi wa benki.
Mgeni rasmi Mh. Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na kurugenzi ya benki ya wanawake(TWB)
Mgeni rasmi Mh. Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na kurugenzi na wafanyakazi wa benki ya wanawake(TWB)
Mgeni rasmi Mh. Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na kurugenzi ya benki ya wanawake(TWB) na wajasiriamali.


























No comments:
Post a Comment