Mwanadada mwenye umbo la utata Bongo Lulu Semagongo 'Aunt Lulu ' ameibuka na kusema kwamba wasanii wamegundua njia mpya ya kujiuza ambayo ni mitandao mbalimbali ya kijamiii
Akiongea na Gpl alisema mastaa wengi wa kike wanatumia mitandao ambapo mapedeshee waliopo mikoani ambapo wakishaona picha zao wanawatafuta kwa hudi na uvumba wanawapigia simu na kuwatumia pesa za tiketi za ndege za kwenda na kurudi dio maana unaona wasanii wa kike wana hela ila kazi wanazozifanya hazionekani
.jpg)






No comments:
Post a Comment