Advertisemet

.

Wednesday, 19 November 2014

Soko la Vinyago Arusha lateketea kwa moto

Soko la vinyago mkoan Arusha lateketea kwa moto usiku wa kuamkia  tarehe 18 November 2014 na kusababisha harasa ya mabillion
Wananchi na wafanyabiashara  ambao vibanda na mali zao ziliungua wanasema walianza kupata habari za  moto huo mida ya saa tatu usiku na walipofika walikuta tayari mali zimeshateketea.Wanasema ni vigumu kubaini chanzo cha hajari hiyo kwani katika maeneo haya hakuna umeme wala chanzo kingine cha moto

HABARI PICHA
 Baadhi ya bidhaa ziliteketea na moto





No comments:

Post a Comment

 
Don't Forget To Join US In MalikiaTz Community
×
bloggerWidget