Advertisemet

.

Wednesday, 19 November 2014

Mwanamke afanyiwa ukatili wa kutisha jijini Arusha

Mwanamke mmoja mkazi wa kijiji cha Olkokola wilayani Arumeru mkoani Arusha amefanyiwa ukatili wa kukatwakatwa mapanga na kuondolewa kiganja cha mkono sikio na sehemu  nyingine za mwili wake....
Mwanamke huyo anaefahamika kwa jina la Paulina Joseph amefanyiwa unyama huo na mtu inaesadikika ni shemeji yake kwa madai ameingilia ndoa yake.Tukio hilo lilimkuta akiwa shambani kwake akikata nyasi kwa ajiri ya kulisha mifungo yake...

No comments:

Post a Comment

 
Don't Forget To Join US In MalikiaTz Community
×
bloggerWidget