Hawa ni baadhi ya Unity of Women Friends kutoka kulia ni Lilian, Rita na Mwati wakiwapokea wageni waliohudhuria sherehe hizo.
Huyu ni mshindi wa kwanzza wa Mwanamakuka wa mwaka 2012 akionyesha bidhaa na mafanikio aliyoyapata baada ya kupata tuzo hiyo.
Huyu ni mshindi wa tatu wa tuzo za Mwanamakuka wa mwaka 2012 akionyesha bidhaa zake.
Washiriki wa tuzo za Mwanamakuka wakiwa kwenye maonyesho.
Mtoa mada akitoa funzo kwa washiriki wa tuzo za Mwanamakuka.
Nasra A. Mussa, mtaalam wa bidhaa za fur fur (fari fari) inayotengenezwa na ngano. Ni mshindi wa tano wa tuzo za Mwanamakuka 2012.
Huyu ni mshindi wa tatu wa mwaka 2013 wa tuzo za Mwanamakuka ambaye amepata mafanikio makubwa baada ya tuzo hiyo.
Mwanne Yusuf, mshiriki wa tuzo za Mwanamakuka na mjasiriamali aliyepata mafanikio na kuitangaza biashara yake ndani na nje ya nchi.
Mjasiriamali akiwa anaonesha vitabu na kuwaelimisha kina mama na watoto wapende kusoma vitabu.
Watoto nao hawakua nyuma katika kujumuika kwenye sherehe hizo za Mwanamakuka.
Baadhi ya wageni waliohudhuria katika sherehe hizo.
Baadhi ya bidhaa zilizokuwepo katika maonyesho hayo.
Baadhi ya wanafunzi wa kike wanaosemeshwa na SOMKI wakipongezwa kwa kufanya vizuri kwenye masomo yao na waandaaji wa tuzo ya Mwanamakuka.
Mgeni rasmi, waandaaji na washiriki wa tuzo za Mwanamakuka katika picha ya pamoja.
Mwenyekiti wa UWF (Unity of Women Friends) ambao ndio waandaaji wa tuzo za Mwanamakuka.
Mgeni rasmi, mama Chacha ambaye ni mkurugenzi wa benki ya wanawake (TWB) katika tuzo hiyo ya Mwanamakuka.
Washiriki wakitoa shukrani zao kwa waandaaji na mgeni rasmi wa tuzo hiyo.

Mshindi wa tuzo ya Mwanamakuka 2014, Leila Mwambungu akitoa machozi ya furaha baada ya kutangazwa mshindi
Wadhamini wa tuzo ya Mwanamakuka ambao ni Airtel wakikabidhi zawadi yao.
Mshindi wa tuzo hiyo ya Mwanamakuka 2014 akitoa shukrani zake mbele ya mgeni rasmi.
Mgeni rasmi akinunua moja ya bidhaa katika maonyesho hayo.



















































No comments:
Post a Comment