Advertisemet

.

Tuesday, 15 April 2014

MISS ILALA 2013 DORIS MOLEL AKABIDHI VITABU KWA SHULE YA MSINGI PUGU DAR ES SALAAM.


Miss Ilala  Doris akitia saini kitabu cha wageni baada ya kuwasili shuleni hapo.

 

Mwalimu akikabidhiwa vitabu na Miss Ilala 2013 Doris.


Doris Molel  akiwa katika picha ya pamoja na walimu wa shule ya msingi Pugu Dar Es Salaam


Wanafunzi wakiwa wameshika vitabu walivyokabidhiwa.


Doris akiongea na wanafunzi wa shule ya msingi Pugu baada kukabidhi vitabu


Wanafunzi wakiwa na furaha katika picha ya pamoja na miss Ilala 2013 Doris.

No comments:

Post a Comment

 
Don't Forget To Join US In MalikiaTz Community
×
bloggerWidget